Recent content by Jimmy w

  1. J

    JamiiForums Tanzania Hivi lengo la kushupalia uhalali wa nyaraka za muungano kwenye Bunge la Katiba ni nini hasa?

    kizazi cha rasimu ya tume ya warioba ni shirikisho la serikali 3, kwa hiyo kukataa serikali tatu ina maana rasim ni batil, coz rasim imeandikwa kiserrikali 3, ndo maana ata bunge limeanza kujadili vipengele vya muundo wa muungano.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Posho kwa wajumbe imetoka leo saa 5 jioni wajumbe wameondoka

    wameenda kuzitumia wakirudi kuongea na wananchi
  3. J

    JamiiForums Tanzania Hivi lengo la kushupalia uhalali wa nyaraka za muungano kwenye Bunge la Katiba ni nini hasa?

    kwan kamati 12 zilizokuwa zikijadil ibara ya 1 na ya 6 za rasim zilikuwa zinahusu nn
  4. J

    JamiiForums Tanzania Posho kwa wajumbe imetoka leo saa 5 jioni wajumbe wameondoka

    wamechukua ela ya kutumia watakaporudi kuwaelimisha watanzania
  5. J

    JamiiForums Tanzania Hivi lengo la kushupalia uhalali wa nyaraka za muungano kwenye Bunge la Katiba ni nini hasa?

    Jiulize kwanza, iv kwann serikali imechukua muda mrefu kupeleka hati ya muungano bungeni hadi kupelekea hatua ya mzozo mkubwa?
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Mbowe: UKAWA kutoka bungeni

    chama dume ccm kinajadili rasimu ipi?coz ya tume ya warioba mshasema ni batili
Back
Top Bottom