Recent content by Jimmy Haizer

  1. J

    HUDUMA MBOVU ZA BASI LA AIFOLA EXPRESS (Dar-kigoma)

    Habari wanajamii, sijawahi kuona huduma mbovu za usafirishaji wa nchi kavu kama hizi za basi la AIFOLA EXPRESS linalofanya safari zake Dar-Kigoma, wahudumu wanakauli mbaya, hawajali wateja wao sio kwenye upande wa abiria wala mizigo, mara kadhaa limekua likichelewesha abiria kufika kwa wakati...
Back
Top Bottom