Recent content by JICHO LA KARIBU

  1. J

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya ya Tanzania inapanga kuvunja Programu za Kitaifa za kupambana na UKIWWI, TB, Malaria na Chanjo

    Wizara ya Afya chini ya Uongozi wa Mganga Mkuu wa Serikali Prof Tumaini Nagu inaandaa Mpango wa kuzivunjilia mbali Programu za Kitaifa za Kupambana na magonjwa ya UKIMWI,MALARIA,CHANJO,MAGONJWA YASIOPEWA KIPAUMBELE na Kifua Kikuu na majukumu na shughuli za Msingi za hizo Programu kuhamishiwa...
Back
Top Bottom