Hauna jipya ww haukuzaliwa kujua kila kitu, ivi hauna kazi na bando lako au kukaa kucomment ujinga tu kama haujui kitu kaa kimya kuona maoni ya wanaojua.🙏
Wataalamu naombeni msaada huu ugonjwa naona ni mgeni kwangu vifaranga wanavimba macho na midomo alafu sio kama ile coryza uvimbe wake ni mgumu hautoi chochote ukibinya na sio kwamba hii ni ndui na ni vifaranga wote wa umri huu, msaada please kwa anaeufahamu huenda ni mpya. picha zake hizi👇
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.