Recent content by jfamily

  1. J

    Tanzania: Mihimili mitatu ya Dola na mwingiliano unaokanganya

    Ww ndiyo unaonekana mjinga, kwenye suala ya haki ktk nchi wote tunatakiwa kuwa kitu kimoja, bila haki au nchi kuwa na maamuzi ya mtu mmoja tutafika? Tuache ujinga katiba mpya ni lazima
  2. J

    Ni dhahiri Mahakama ya Tanzania ni mshirika mkuu wa kutotenda haki nchini

    Hata ww huoni kwamba mtu kateswa namna hiyo je angekuwa ndugu yako ungeona uamuzi wa mahakama uko swwa? Ww hata kama ni mnufaika wa mfumo uliopo lkn haki za watu ni jambo la msingi, huyo mtuhumiwa alivyoteswa namna hiyo je haki yake anapata wapi na je angeteswa ndugu yako ungesema nn juu ya...
  3. J

    GE2020 Robert Amsterdam na Sheikh Ponda ndio watakaomuangusha Lissu

    Una mfano wowote wapi hiyo imetokea Yani ni nchi gani ktk afrika hilo limefanyika? Ndiyo maana mzee lowassa alisema elimu elimu elimu
  4. J

    GE2020 Robert Amsterdam na Sheikh Ponda ndio watakaomuangusha Lissu

    Kwa hali ilivyo ktk utawala huu bado mnahitaji magufuli aendelee kuwa Rais wa nchi hii?
  5. J

    GE2020 Robert Amsterdam na Sheikh Ponda ndio watakaomuangusha Lissu

    Na Ole wao wajaribu kuharibu uchaguzi watakiona cha moto,
  6. J

    GE2020 Robert Amsterdam na Sheikh Ponda ndio watakaomuangusha Lissu

    Bado nchi hii tuna watu wajinga sana kama ww, hata baba wataifa mwalimu nyerere alikuwa na wakili beberu wa uingereza kwa ajili ya kumtetea dhidi ya kesi za wakoloni, huyo beberu alimsaidia ktk kesi zake alizokuwa anafunguliwa za uchochezi na mpaka tukapata uhuru Kupitia harakati za mwalimu...
  7. J

    GE2020 Bado sioni njia ya CCM kushinda huu uchaguzi. Kivyovyote vile, CCM imepoteza mpambano

    Kama mngekuwa na wanachama wote hao kwann huwa mnasomba watu kwenda kwenye mikutano yenu, mfano mkutano kama unafanyika mwanza yani mnasomba watu kutoka Misungwi, magu, ngudu, shinyanga, sengerema ukerewe, geita lamadi hadi bunda ili mjaze watu
  8. J

    GE2020 Rais Magufuli ndiyo anaibuka kuwa atawaongezea mishahara wafanyakazi. Tunamwambia kuwa hatudanganyiki ng'oo

    Je sheria inasema hivyo kuhusu kupandishwa mishahara ya watumishi wa umma, je pia Kuna exceptional yoyote katika sheria inayotaka mtumishi wa umma aongezewe mshahara kila mwaka? My friend kwa sasa watu elimu iko kwa kichwa sana
  9. J

    GE2020 Rais Magufuli ndiyo anaibuka kuwa atawaongezea mishahara wafanyakazi. Tunamwambia kuwa hatudanganyiki ng'oo

    Hao ni vijana wa lumumba pale hawajui lolote zaidi ya kutetea Zile buku 2 kwa siku
  10. J

    GE2020 Nilichokiona hapa Korogwe kwenye mapokezi ya Magufuli, aaah huyu mtu anapendwa sana

    Umesema kweli kwanza akiwa anapita sehemu lazima njia isafishwe ndiyo hapo watu hutaka kuona anavyopita, hata mm nikisikia Rais anapita nasogea kuona ule msafara wa magari Yale ya thamani kubwa na ule ulinzi mkubwa
  11. J

    GE2020 Wapiga kura wapya takribani Milioni sita na nusu (6.5M) kuamua mshindi wa Urais mwaka huu 2020

    Ushahidi upo tuna jamaa zetu ambao ni wapangaji kwenye majengo ya ccm ili ukidhi vigezo vya kupewa nafasi ya kupanga lazima uwe mwanachama wa ccm, hata mfano ccm kirumba pale Kuna watu wamekodi stoo, wana kadi za ccm za kuvungia ili kukidhi vigezo, sisi tunajua Bana acheni mchezo
  12. J

    GE2020 Hivi Tundu Lissu amepewa ulinzi na Serikali?

    Mamtu mengine majinga sana kama ww
  13. J

    GE2020 Fahamu haya kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020: Kujitoa, Kifo au Kutokuwepo kwa Wagombea

    Hahahaha upinzani ni dhaifu eti? Unaota mchana ww, wananchi tulishaamua Rais ni Lissu hadi huku geita tunamtaka Lissu
  14. J

    GE2020 CHADEMA wana faida kubwa mbili

    Lissu anafanya kampeni kwa akili sana na kila anakopita watu wanampokea vizuri, mm niko mwanza naona kabisa lissu atapata kura nyingi sana Yani magufuli hadi kwao chato hali ni mbaya, kweli MUNGU ni mkuu na amepandikiza chuki ndani ya mioyo ya watu dhidi ya magufuli kila mtu anamsema vibaya
Back
Top Bottom