Recent content by Jf president

  1. Jf president

    JamiiForums Tanzania Google pixel 6 plain dhidi ya IPhone 11 plain nani mkali zaidi naomba kupata ufafanuzi nataka kuchukua mojawapo ya hizo brand

    Simu ambayo ni ndoto ya mtu unaiita takataka dah [emoji1][emoji1]
  2. Jf president

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kidogo juu ya SAMSUNG NOTE 10+ dhidi ya GOOGLE PIXEL 6

    Yeah nimepata mwanga kiukweli
  3. Jf president

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kidogo juu ya SAMSUNG NOTE 10+ dhidi ya GOOGLE PIXEL 6

    Heshima yako ..kaka unajuwa[emoji120][emoji120][emoji120], ubarikiwe sana ...sasa nitamiliki kitu kutokana na ushauri wako.
  4. Jf president

    JamiiForums Tanzania Google pixel 6 plain dhidi ya IPhone 11 plain nani mkali zaidi naomba kupata ufafanuzi nataka kuchukua mojawapo ya hizo brand

    Sijui naomba kufahamishwa zaidi ndugu yangu...kama unajuwa zaidi naomba kujua mkuu.
  5. Jf president

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kidogo juu ya SAMSUNG NOTE 10+ dhidi ya GOOGLE PIXEL 6

    Oooooh Ahsante sikujua mkuu
  6. Jf president

    JamiiForums Tanzania Google pixel 6 plain dhidi ya IPhone 11 plain nani mkali zaidi naomba kupata ufafanuzi nataka kuchukua mojawapo ya hizo brand

    Wapendwa habari za wakati huu, Samahani naomba kujua Kati ya google pixel 6 plain na IPhone 11 Nani mkali zaidi katika camera, betries, storage, quality na mengineyo mengi mengii ya ndani msaada wakuu.
  7. Jf president

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kidogo juu ya SAMSUNG NOTE 10+ dhidi ya GOOGLE PIXEL 6

    Kaka umeua, je kwa google pixel 6 plain na IPhone 11 kavu Nani anaweza kuwa mkali kwa mtizamo wako ..samahani lakini Mkuu.
  8. Jf president

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kidogo juu ya SAMSUNG NOTE 10+ dhidi ya GOOGLE PIXEL 6

    JE Google pixel 6 plain na IPhone 11plain, Nani hapo ni mzuri zaidi ..samahani lakini
  9. Jf president

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kidogo juu ya SAMSUNG NOTE 10+ dhidi ya GOOGLE PIXEL 6

    kaka wewe ni kiboko kiukweli umeulidhisha moyo wangu 100% sikudai
  10. Jf president

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kidogo juu ya SAMSUNG NOTE 10+ dhidi ya GOOGLE PIXEL 6

    Wapendwa naomba kwa yeyote mwenye uelewa Mpana juu ya haya matoleo mawili Samsung note 10+ na google pixel 6,ipi ni Simu bora zaidi kwa matumizi ya mtanzania anayependa vitu vikali.
Back
Top Bottom