Recent content by JF-MBUNGE

  1. J

    The Sad Truth is: Bunge la Katiba Dodoma Ni Reflection ya Taifa Letu la Sasa!

    Kweli tunakazi, tuanzie hili... Inakuwaje na aliyekaa marekani na ulaya miaka 30 nae alipofika Tanzania alikwenda kwenye ngumi za Wema an Wolper hadi awashangae watanzania wengine waliojaza uwanja???? Kwahiyo jibu ni kuwa ukikaa ulaya ndio uende kwa wema na wolper ila ukiwa mtanzania umekaa...
  2. J

    Kwanini baadhi ya Watanzania wanampenda Lowassa pamoja na Kashfa zake?

    Nafikiri dk alimanisha dakika na sio udaktari.. Back to the point... Edo has value 2become a next president, with our luck he will..what if not? Think on your value
  3. J

    Bungeni pawaka: KURA YA SIRI vs KURA YA WAZI

    Msemo wa wadau humu hadi liishe tutasikia mengi....kumbe kuna kura za mtu na kura za issue vivyo hivyo kama mjomba wako hafai kua kiongozi na kura ya siri itakufanya usimchague..basi hata maamuzi juu ya issue yanaweza kua sio mazuuri kwa maslai ya taifa hivyo kura ya siri itasaidia kuliokoa...
  4. J

    Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

    Ninapenda muungano wa serikali moja. Sababu ni kuwa kana nia ya mabadiliko ya katiba ya sasa ni kuondoa matatizo yanayalalamikiwa basi tujisahishe kwa kuwa na serikali moja na huu kwangu ndio muungano. Kimsingi haya mawili chini ndio suluhu ya katiba yetu (1) Serikali moja ya jamuhiri ya...
  5. J

    Tuwekane sawa mbona kwenye katiba wanaohubiri kuungana hoja zao zimejikita kwenye kutengana

    Taifa lipo kwenye mchakato wa katiba mpya, pls ebu tuwekane sawa. Inakuwaje wadau wanao shinikiza kudumisha muungano kwenye content za hoja zao wanapendekeza serikali 3 au 2..je huu ni muungano au utengano...??? Wengine wanataka mamlaka kamili lkn wanapendekeza kuwepo na muungano wa mkataba au...
  6. J

    CHADEMA ikishindwa Kalenga uongozi wote upigwe chini

    Ebu jibu la kubadili uongozi CDM liwe...'tunasubiri mmfukuze EDO' kuna side wakisikia hili huwa wanakua wapole sn nahisii kupata results flani hapa nisaidieni...
  7. J

    Maajabu:baada ya Rasimu ya pili na bunge la katiba kuanzaWASOMI wajadili muundo wa serikali unaofaa

    naunga mkono huja yako kwa asilimia 100 mara 1 kama tunataka kuungana serikari nyingi za nn?
  8. J

    Lowassa apata za uso jijini Mbeya kutoka kwa JK

    Bro, Pasco nikuulize swali moja je game hili linalipa? experience involved.
  9. J

    Mzee Malecela atoa tamko - Amuunga mkono Paul Makonda

    Ahh ahhahah siasa za Tanzania ndio zimefika hapa!!!! haya ngoja tuone siku Kuku wa CDM na CCM wakijitokeza wenyewe...maana siku hizi kuna kuku na vifaranga.
  10. J

    Nape, Tujadili Faida za Serikali Tatu kwa Manufaa ya Umma

    NDG, yangu mchambuzi hakuna aliyekataa faida za muungano ..mie ninachotaka unieleweshe ni faida za serikali tatu..ndio maana kwanza nilitaka unifafanulie wewe kwa uelewa wako serikali ni nn? pia kama kuna majibu ya faida za serikali tatu niambi au copy ulipo andika niwekee mie nimefatilia...
  11. J

    Nape, Tujadili Faida za Serikali Tatu kwa Manufaa ya Umma

    Exactly Man..,there you are...we real have 2 solutions, we either opt for 1 gov. or separate our nation given peoples' will to do that..period. Eti serikali tatu Mchambuzi ebu nijibu na hili la chini hapa kwanza maana mie naona mijadala huu tunachanganyana tu. TUANZIE HAPA: TOKEA NAKUA...
  12. J

    Nape, Tujadili Faida za Serikali Tatu kwa Manufaa ya Umma

    Mchambuzi, kwanza naomba nieleweke kuwa ninania ya kuelewa hasa faida ya serikali tatu ni zipi hata tatu zinanitosha ambazo zinasaidia wananchi-pls sio za kisiasa Nimefatilia nimesoma sana post zako nyingi umejikita katika kuainisha matatizo yaliyojitokeza ndani ya serikari mbili (muungano na...
  13. J

    Nape, Tujadili Faida za Serikali Tatu kwa Manufaa ya Umma

    Mchambuzi, nakubaliana na kuheshimu rasimu ya tume ya jaji Warioba, nafanya hivyo kwa kutambua sio mawazo yao bali ni mawazo ya wananchi walio wengi. Pia Mh. rais alisema vizuri kbs kuwa wanananchi tujadili katiba mpya katika misingi ya kujenga. Hivyo basi mie naomba uniainishie faida japo tatu...
Back
Top Bottom