Recent content by Jetrudatabha

  1. J

    Jf Mnyukano: Soma Shairi langu uelimike

    #Hakika Jf ni mnyukano, Nami ni nani nisiunge mkono. Kilicho bora milioni tano, kuwa balozi si kibano. Nitashinda huu mtifuano, ukinipa hiyo yako tano. Kwa maandishi Ambatano, na hoja changamano. #Tulilisubili hili shindano, Kuleta hoja chanya. Jf sio mvutano, nawe waweza jichanganya. Kwa...
  2. J

    SoC01 Ukoloni wa Kesho: Leo Ukoloni Mamboleo, 2150 Ukoloni Kamili tena

    Link hiyo hapo https://www.jamiiforums.com/threads/ukoloni-wa-kesho-leo-ukoloni-mamboleo-2150-ukoloni-kamili-tena.1894067/#post-39731489
  3. J

    SoC01 Ukoloni wa Kesho: Leo Ukoloni Mamboleo, 2150 Ukoloni Kamili tena

    UTANGULIZI Nina bahati ya kuandika Maneno haya, Maneno haya nitahadhali ya yajayo kama hatutoyaishi, Ninawaandikia vijana wote wa Tanzania Na Afrika kwa Ujumla Maneno haya yakawe Mwito wa Asubuhi kwa Vijana wote, Dhumuni kubwa la maneno haya nikuwaamsha vijana kuhusu 📌Serikali inaposema...
Back
Top Bottom