Nyie kuna huu wimbo unaitwa NENDA wa msanii mmoja anaitwa STRONG DADY huyu msanii ni Upcoming ila balaa lake sio dogo jamani.
Mimi nimeguswa sana na huu wimbo wa huyu msanii STRONG DADY wimbo unaoitwa NENDA
Je, wadau wenzangu mnaupa max ngapi huu wimbo?! Naona unakuja kushika kwa kasi sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.