Naomba niendelee kukanusha habari ambazo sio za kweli zinazonihusu jf.mwandishi unaweza kuwa lengo zuri ila njia uliyoitumia si sahihi.hicho ulichokisema kina taratibu zake na muda wake bado haujafika.pia sijapokea simu yako wala sijazungumza uliyoyaandika.ikumbukwe kuwa mimi ni m/kiti wa hamasa...
tunashuhudia mikoa mingi yenye viongozi wa ccm{wabunge} inaongoza kwa kufanya vibaya kitaaluma na hata kimaendeleo,mfano singida,lindi,mtwara,dodoma n.k.inaaminika kumtawala mjinga ni rahisi sana. Nashindwa kuelewa vipaumbele vikubwa wanaviweka wapi,ni wazuri kweli kwenye kuimba na kucheza...
Kutokana na kigugumizi kingi kinachoendelea kwenye vichwa vya watanzania wengi kuhusu ukweli wa jina halisi la mbunge wa iramba magharibi mh.Mwiguru Lameck Nchemba,kumeisukuma BAVICHA wilaya ya Singida mjini, kwa kushirikiana na vijana wenye taaluma ya utafiti kuhakikisha wanafuatiliwa kwa kina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.