Recent content by Jes Jes

  1. J

    JamiiForums Tanzania Mbinu gani ya kudai Boss alipe Mishahara

    ofisi ya idara ya kazi ipo chini ya wizara ya kazi inashughulika na utekelezaji wa sheria za kazi na kusimamia haki za wafanyakazi na kupokea malalamiko yote ya kazi na kuyatafutia suluhu Ukifika ofisini mwajiri wako ataitwa na swala lenu litatuliwa kisheria
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mbinu gani ya kudai Boss alipe Mishahara

    Nenda ofisi ya idara ya kazi iliyopo kwenye mkoa wako husika Peleka malalamiko yako hapo kwa maafisa kazi mwajiri wako atashughulikiwa.
Back
Top Bottom