Kwanini ukiwa CCM ghafla unakuwa mbumbumbu hivi? Bado mnaamini CCM kinaiwazia Tanzania? CCM ni kakikundi ka watu wachache sana wanaongozwa na kikwete na mtoto wa Samia.
Zero brain....! Nini kinakusumbua? Huna kazi? My friend Dunia inatunzs haya maupumbavu yako, Iko siku utajuta. Hawa wanao faidika na CCM yao hawajawahi kuwa wajinga hivi. Kifupi, wewe umepoteza NETWORK.
Hangaika uwezavyo ,lakini Wazungu hawajawahi kushindwa kitu. Take it from me Tanzania tupende tusipende lazima TUNDU Lissu aachiwe na turekebishe SHERIA za uchaguzi ili CHADEMA ishiriki. Vinginevyo kilio hakiko mbali.
Hizi Mahakama za Tanzania hazisitahili kuitwa MAHAKAMA, Bali ziitwe matawi ya kisheria ya CCM au wenye fedha. Siwezi kupotezwa muda wangu kupeleke kesi yoyote kwenye Mahakama ya Tanzania ....! Never.
Umetumwa na CCM bila shaka!! Haki haiombwi , hudaiwa Kwa nguvu tena bila kuchoka. Sasa walitaka kujua kuwa wao ni wajinga wafanye uchaguzi bila CHADEMA, watajuta kuzaliwa
Huyu mleta mada ni mbumbumbu ! Hajui Kuna Dola kubwa kama ya Mali ilikufa? Roman empire ilikufa na hata Dola, serikali ya Hitler ilikufa na kusambaratika kama kioo Cha mbele Cha gari baada ya kugongana uso Kwa uso na train?
Hii ya Samia tukikaza Buti kidogo tu Chali.
Vion
Viongozi wakuu wa serikali na CCM Huwa hawapendi kuona mtu anakuwa popular kuliko wao....! Kwahiyo inabidi kama unajipenda uishi katika low profile. Nitakupa mifano michache.
Unamfahamu Dorothy GWAJIMA wa enzi za Magufuli na Dorothy huyu wa sasa? Wako tofauti sana. Angeendelea kufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.