Recent content by Jerry95

  1. Jerry95

    Msaada naomba kuuliza

    ni mpy hiyo M51 lakini sijawahi kuona mtu anatumia labda ningepata mtu ambaye anatumia angeniambia ipoje
  2. Jerry95

    Msaada naomba kuuliza

    Samsung M51 vipi ushawahi kutumia
  3. Jerry95

    Msaada kuhusu simu ya Samsung

    Miezi mitano iliyopita nilinunua simu aina ya Samsung S9 plus kumbe hii simu ni refurbished ina tatizo la network ukiweka laini karibia zote muda mwingine inaandika emergence mara mtandao unasoma. Afadhali kidogo laini ya halotel ndo ina kubal ila sometime nayo mtu akikupigia naambiwa...
  4. Jerry95

    Msaada naomba kuuliza

    Miezi mitano iliyopita nilinunua simu aina ya samsung S9 plus kumbe hii simu ni refablished ina tatizo la network ukiweka laini karibia zote mda mwingine inaandika emergence mara mtandao unasoma. Afadhali kidogo laini ya halotel ndo ina kubal ila sometime nayo mtu akikupigia naambiwa...
Back
Top Bottom