Recent content by Jerry Jerry

  1. J

    Logistic and Transport Management, National Institute of Transport

    mie nasoma NIT na logistics naisoma na ninekuta hadi mwaka wa tatu wapo wanaosoma logistics so imeanza zamani sema walikuwa wanachukuliwa wachache sana tofauti na siku hizi
  2. J

    Logistic and Transport Management, National Institute of Transport

    kwa diploma minimum gpa ni 3 so bado una nafasi
  3. J

    Logistic and Transport Management, National Institute of Transport

    hata mwaka jana wakati mimi ninaapply waliokuwa wanatakiwa walikuwa 72 lakini darasani tupo 150 kwa hiyo msiogope huwa wanaangalia vigezo.kwa waliosoma arts uwe na credit pass 3 kwenda juu na waliosoma science uwe na credit pass mbili kwenda juu
  4. J

    Logistic and Transport Management, National Institute of Transport

    uhusiano uliopo kati ya procurement and supply management ni kwamba ndani ya logistics & transport management tunasoma hiyo procurement &supply chain management kwa ufupi tu sio kama wanaosomea procurement as professionals. so tunaigusagusa kwa sababu kuna vitu vinashabihiana
  5. J

    Logistic and Transport Management, National Institute of Transport

    mwenye combination yoyote anaruhusiwa kusoma.hesabu zake sio ngumu ni statistics na quantitative methods.so ni hesabu za kawaida na haijalishi combination
  6. J

    Logistic and Transport Management, National Institute of Transport

    ni kozi nzuri sana na mimi ninasoma hiyo kozi nimemaliza mwaka wa kwanza nasubiri kuingia wa pili.ajira zake zipo sehemu nyingi sana na ni mult-purpose.ukipata kazi utaitwa logistics manager au transport manager na ajira zake ni sehemu zote zinazohusisha transport kama vile...
  7. J

    University continous students

    wanajf naomba kuuliza kuhusu process ya kurenew mkopo kwa continous student kama bado ipo.na kama ipo inakuaje au inafuata hatua zipi?
  8. J

    Je wajua

    Zingine mbwembwe tu.Nitajie vyuo vinavyofundisha kozi inayoitwa LOGISTICS AND TRANSPORT MANAGEMENT kwa afrika mashariki.
  9. J

    N.I.T kuanza kutoa marubani

    hapo sijajua wataanzia level gani
  10. J

    N.I.T kuanza kutoa marubani

    Leo katika pitapita zangu nimekutana na habari kuwa chuo cha taifa cha usafirishaji karibuni kitaanza kutoa kozi za urubani.
  11. J

    Msaada :Admission letter za N.i.t

    Jamani kwa anayejua kuhusu upatikanaji wa admission letter kwa chuo cha NIT anijuze ili nami niipate
  12. J

    Karibu Chuo cha Taifa cha Usafirishaji, Mabibo

    Jamani admission letter walisema wanazituma lakini mimi sijapata.je,isipofika naweza kuripoti chuoni bila kuwa nayo?
  13. J

    Fee structure for all courses

    Vipi kuhusu admission letter kwa wanaoenda n.i.t?
Back
Top Bottom