siwezi kukushauri unatakiwa kujua kwanza mwenyewe unahitaji kitu gani na kwa sababu gani ukishapata njoo nitakupa tabia na sababu ya kununua kwa eneo lako na matumizi yako.Asante.
chief unaweza kutoa gharama ya kumtibu mgonjwa bila kuonana nae,kuna tofauti kati ya huduma na bidhaa service ni huduma...nikikupa bei bila kujua tatizo ni aidha ntakuibia ama utaniibia.
Gharama ya kufanya service mkuu inategemeana na gari pamoja na majibu ya check up,lakini pia kucheki tatizo la gari husika kwa sasa ni bure hadi mwezi wa pili hivyo hakuna gharama ya kufanyiwa check up na ushauri.
Karibu
Ubora wa gari lako unategemea na ushauri pamoja na maelekezo ya utunzaji wake,gari nyingi zinaharibika mapema kutokana na ushauri mbovu na kutozingatalia alama na dalili za viashiria.
Karibu Jeri Car Wash & Service leo,tuifanyie ukaguzi gari yako,tuitolee ripoti na ushauri na iwapo kuna tatizo...
Ha ha haaa karibu sana mkuu ila pia tumeongeza bidhaa kwa ajili ya kujali zaidi gari lako huenda tulifikiria zaidi gari kuliko gari linapopita tumeleta kwa sasa tuna Jeri Super inatumika kusafishia injini unajua unapomwaga oil huwa kuna uchafu unabaki baki ule unaweza kuleta nyufa baada ya muda...
Asante kwa hili pia tutalifanyia kazi,nashukuru kuona wateja wangu mnajali pia na biashara yenu,lakini pia mkuu kuna boksi la kuweka maoni siku nyingine ukipita ukaona cha kubadilisha,kuboresha usisite kutuandikia ukadumbukiza huwa tunayapitia na kusoma mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuosha gari ni hatua moja lakini vifaa na aina ya uoshaji wa gari husika vina mchango mkubwa katika maisha ya ubora wa gari lako,ukifika Jeri tutakuhudumia kwa ufanisi na utaalam wa hali ya juu,tutaosha gari lako kwa sabuni maalum za kuoshea magari,lakini pia mashine za kisasa kabisa za kunyonya...
Hii ni biashara isiyohamishika kirahisi ndio maana ina location moja kila siku haiwezi kula kona,karibu tukuhudumie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuna usafi wa aina 2 kwa ajiri ya gari yako
1.Gari itaoshwa nje na ndani bila kutoa kitu.
2.Gari itaoshwa nje na ndani kwa kutoa viti vyote na kisha kufanyiwa usafi wa kina kila sehemu kwa umakini mkubwa.
Fika leo Jeri upate huduma bora.
Ukiwa Jeri unapoosha gari lako unaweza kupumzika sehemu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.