Pole sana kwa mkasa bibie.
Mambo hutokea kwenye mahusiano ni mbaya sana ukikutana na mtu asiyejali hisia zako. Mtu ambayo anatumia faida ya udhaifu wako kwake.
Amejua wewe bila yeye hutoboi ndio maana, hukupaswa kumuonesha huo udhaifu wako.
Mimi pia nimepitia hali kama hiyo miezi minne...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.