MAHABA YASIYOKOMA.
Sehemu ya pili katika mfululizo mrefu wa tungo tamu za fasihi ya kiswahili ziendazo kwa jina la Mahaba Yasiyokoma. Leo ninakuletea mkasa mdogo uliowahi kunikuta, ukawa chanzo kikuu cha wazo la uumbaji wa tungo nyingine iliyobeba hisia zangu. Nikashawishika kuandika kuweka...
MAHABA YASIYOKOMA.
Mimi binafsi huwa ni mpenzi wa tungo mbalimbali za sanaa ya kiswahili.
Tangu utotoni, nimekuwa nikipendelea sana kusoma vitabu na machapisho mbalimbali yaliyoletwa nyumbani ama na mzee wangu au kaka na dada zangu walionitangulia kufika shule. Mpaka sasa nawezasema, nimesoma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.