Asante kaka umeona mtu ni narcissistic hata shoga hajamuacha mtu unavumilia kisa Jamii na watoto, halafu iwe mm ni mkosa pekee kisa kuchat tu na mtu wala sina mpango wa kutoka nae na wala simjui yupo nchi za nje ,ni kama story tu kupass time
Ndio lakini sisi waislam kama kuna picha za my sisters bila kujistiri haifai yeye azione,ndo nkamwambia siwezi kufungua ukamuona my sisi wazi na Ana mume wake , akaamini na jana kanivizia kapokonya simu kaichunguza Kote bahati nzuri kaona bado nachat na sis hata jana akanirudishia simu yangu...
Jamani yeye simu zake zote hanipi passwords na nishamfuma mara nyingi tu,ilikua ni shetani tu na nlichat nae as friends only, halafu jana kanijia ghafla kanipokonya simu kaipekura Kote hajakuta kitu
Hali zenu?
Jamani mwenzenu mume wangu sujawahi mchiti ila yeye nishamfumania mara kadhaa tu.
Basi na mimi nkaamua kuchat na kijana tu yupo nje ya nchi wala sipo in relationship naye ilikua tunachat mambo ya sex tu ila si mpenzi wangu wala chochote na ni mara ya kwanza kuongea na jinsia ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.