Zile chafya, mafua na kuvuja kwa makamasi kwenye ile video, ni ishara tosha kwamba yule mjomba afya yake ni mgogoro mtupu. Ni vyema serikali ikawa makini na watu wenye afya mbovu kama yule na ikibidi awekwe katika cell ambayo hatachanganyika na wengine. Au ni vizuri zaidi kama aliruhusiwa kuishi...
Endelea kudhania hivyohivyo, dhana ndiyo kanuni ya watu kama wewe.
Dingi yangu ametuzaa watoto 6 na hakuna hata mmoja kati yetu aliyewahi kusoma shule binafsi. Kuanzia darasa la kwanza mpaka form six, wote tumesoma shule za serikali.
Kuhusu vyuo vikuu, wanne kati yetu wamefika vyuo vikuu...
Yeyote anayeamini kwamba hii video ya Rwakatare ni ya kutengeneza, basi huyo mtu lazima alimuamini babu wa Loliondo, na mtu huyo huyo lazima aliamini kwamba FBI wamekuja Zanzibar kuchunguza kifo cha padri mushi. Na inawezekana baadhi yao wana digrii za university fulani, na wanalaumu kufeli kwa...
Wamejiunga mwezi march kwa sababu ID zao za zamani zimepigwa ban humu. Mimi hii ni account yangu ya ishirinangapi sijui huko, kwa sababu kila nikiandika kitu ambacho sikubaliani na chadema, basi JF hupiga ban indefinitely. Kazi yangu ni kufungua account nyingine tuu, na kuendelea kuweka maoni...
Chadema ni kama winnie mandela, chadema ni mpango wa mungu, chadema ni nguvu ya umma,..... now they are all over the place, and it seems like there is a suffering of collective amnesia amongst their ranks and lost track of who they real are.
Hapo kwenye red hapo ndipo kwenye tatizo :tea: na siyo wewe tuu, wafuasi wengi wa chadema hicho ndicho kinachowafanya wasiweze kufikiri sawasawa.
Nenda kasikilize muziki, kuna wimbo mmoja wa Peter Tosh unaitwa "crystal ball". Ukiuelewa huu wimbo vizuri basi unaweza kukusaidia.
Waungwana, mwenye audio/video version ya Yusuf Makamba aliposema -
"Mwanaume aliyejifunga khanga ya mama yako ni baba yako hata kama sio mzazi wako''
naomba aitundike hapa. Kwa sababu visa kama hivi mimi huvirekodi "digitally" kwa ajili ya wajukuu zangu vizazi vijavyo.
Amemaanisha chadema ni kama Winnie mandela tuu, si unamkumbuka Winnie Mandela?; si unakumbuka Winnie Mandela aliposema katika public speech "with our boxes of matches and our necklaces we shall liberate this country." Wakati akihamasisha wasauz waendelee kuchoma moto watu kwa matairi ya gari...
Ukiniwekea "evidence" nitaamini. Kama kuna video nyingine ya shehe Ilunga iwekwe hapa tuione. Lakini kama video yenyewe ndiyo hii hapa chini
SHEIKH ILUNGA: Wauweni Maaskofu na Mapadre - YouTube
nasikitika kwamba siamini kama shehe Ilunga amesema hayo maneno. Tena ukifika kwenye dakika ya 3:02...
Mimi nimeweka video yake hapo. Wewe unashinikiza maoni yako yawe ndiyo ukweli. Kama zipo kila kanisa video za shehe Ilunga, ziwekeni hapa dunia nzima kila mtu ataziona.
Moja ya vitu nilivyojifunza shule ni kutofanya mdahalo kwa kutumia maoni yangu kukinzana na ukweli thabiti au "facts". Tazama...
Video ya shehe wa Ilunga hii hapa chini. Itazame vizuri kisha utapata jawabu kwanini polisi hawawezi kupoteza muda kumkamata shehe wa Ilunga.
SHEIKH ILUNGA: Wauweni Maaskofu na Mapadre - YouTube
Jamani eeeeh tuacheni uzandiki. video ya maneno ya kupandikizwa hii hapa chini. Tazama mdomo wa shehe wa Ilunga na maneno yanayosikika, kisha fananisha na ile ya Rwakatare. Siyo lazima uukubali ukweli hadharani, ukiukubali ukweli moyoni mwako tuu inatosha.
SHEIKH ILUNGA: Wauweni Maaskofu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.