Recent content by jengojr

  1. J

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

    Wamefanyaje Chief?
  2. J

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

    Hapan Chief Kuna mwana ana degree ya art with education amepata huko Sasa hajui basic yak itakua ngap ukitoa posho
  3. J

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

    Wakuu naomb ufafanuz hii
  4. J

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

    Wakuu mambo ya ndani vip maokoto kam uhamiaj na polisi naskia nako kuzuri hasa ukiwa na bachelor naomb ufafanuzi
  5. J

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

    Wakuu hiv uhamiaji Kuna maokoto kwa degree holder ety naskia ni kuzuri
  6. J

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

    Ila Chief sio polis wote wanapata vitengo wengine ni njaa tupu
  7. J

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

    Polisi wanakula Kaz ngumu mno kuliko maslahi yao
  8. J

    JamiiForums Tanzania Kataa kabisa urafiki au mahusiano ya kawaida na Askari Polisi

    Kuepuka yote haya ni vyema samia awaone kwa jicho la huruma kuwaboreshea mazungira ya kazi na maslah Kwan polis wanafany Kaz kubwa kuliko malipo Yao na hawana mda wa kudeal na side hustle
  9. J

    JamiiForums Tanzania Kataa kabisa urafiki au mahusiano ya kawaida na Askari Polisi

    Hata zanzibar Naunga mkono polis hawaogopew wanaonekan ni watu wa kawaida sana
  10. J

    JamiiForums Tanzania Kataa kabisa urafiki au mahusiano ya kawaida na Askari Polisi

    Wana maisha Mabaya Chief??
  11. J

    JamiiForums Tanzania Kataa kabisa urafiki au mahusiano ya kawaida na Askari Polisi

    Hawa ndugu zetu sjui nn kinawasumbua wakati kwao maisha ni mazuri may be Tamaa na roho mbaya zinawasumbua
  12. J

    JamiiForums Tanzania Kuhusu posho za polisi Tanzania

    Mkuu si Kuna posho zile lak 3 kwa mwez na vinywaj ila Kuna jamaa anasem Mara haziingizw hiv ni kwelo?
  13. J

    JamiiForums Tanzania Kuhusu posho za polisi Tanzania

  14. J

    JamiiForums Tanzania Kumbe kazi ya Polisi inalipa sana, sio njaa kama watu wanavyoisema

    Lak 5 kwa hio baada ya Makato atapat lak 4 na posho lak 3 duhhh aisee Sasa km Ana Familia hpo s majanga
  15. J

    JamiiForums Tanzania Kumbe kazi ya Polisi inalipa sana, sio njaa kama watu wanavyoisema

    Hivi Kwan huwez kufikisha lak 3 kwa Lindo mwez mzima??
Back
Top Bottom