Achaneni na Lukuvi. Ukweli umewauma sana sio? Ha ha ha!!! Mlifikiri kutukana ukristo hadharani kila siku hakuna wakristo watakao rise kuwasuta na maovu yenu???:israel: Tafuteni agenda nyingine UKAWA wote tunawaelewa lakini kuliingiza hili la Lukuvi sio mahali pake wazee. Kila mtu ana takiwa...
Kaka tatizo waislamu hamjazoea kuambiwa ukweli. Maelezo ya Lukuvi wote tumeyasikia bungeni na hayana tatizo lolote. Kwani nani haoni au hajui ubaguzi wa wazi unaofanywa na waislamu hapa Tanzania. Zipo nyumba za waislamu hawapangishi wakristo, baadhi ya mashirika ya uma kama NSSF sasa hivi kupata...
Mimi nadhani maelezo ya maalim yanajitosheleza. Sikuwahi kusikia habari hizi kbla. Ila nichukue nafasi hii kumuuliza jambo moja...hivi siku ya uhuru wa Zanzibar mbona hatuifahamu? Huadhimishwa lini? Au kupindua nchi ndio wakaondoa siku ya uhuru wakaweka ya kuadhimisha kupindua dola ya mwanzo?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.