Hivi duniani huku kuna watu bado wanahangaika na aina hii ya ujumbe?Mbona haya ni mambo ya kizamani sana jamani. Nani atakupa fedha ya bure duniani huku
Ofisi ya Raisi si ofisi ya kutoa hukumu hadharani kwa mashauri ambayo taratibu za kisheria zinaendelea. Kama kuna Kiongozi anatuhumiwa kwa ufisadi wa fedha za umma mahakama ipo na baada ya kutoa hukumu ofisi inaweza kuchukua hatua za kinidhamu. Pia tatizo la mikataba ya ukodishwaji wa ardhi ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.