Recent content by JEMA JEMA

  1. J

    Leticia Nyerere, John Shibuda (CHADEMA) wajisajili katika Bunge Maalum la Katiba

    Leticia nyerere mbunge viti maalum kupitia chadema ambayepia ni mmoja wa wanaukawa alitoka bungeni akidai rasmu inayojadiliwa sio ile iliyopendekezwa na wananchi na alitoa msimamo kuwa hatorudu hadi rasmu ya wananchi itakapoanza kujadiliwa ila sasa anaonekana katika kamati za bunge na rasmu bado...
  2. J

    Serikali mbili

    1. Hati ya makubaliano ya Muungano ya mwaka 1964 ndiyo msingi wa kuwa na muundo wa Serikali mbili ambapo Zanzibar ilikubali kuhamishia sehemu ya mamlaka yake hasa yanayohusu masuala ya muungano kwenye serikali ya muungano na Tanganyika ilikubali kuhamishia mamalaka yake yote kwenye serikali ya...
  3. J

    Nyerere alitaka Shirikisho lenye serikali tatu

    Acha kuwadanganya watanzania
  4. J

    Wazanzibari waishio Tanganyika wapinga kugawanywa

    Najua mnahangaika ila mjue serikali mbili znarosha
  5. J

    Serikali3

    Hodi hodi jamani! Nimekuwa nikitafakari na kujiuliza swali ila nakosa majibu sasa naomba msaada. Tukiwa na serikali ya Zanzibar ofisi zake zitakuwa zanzbar na tukiwa tanganyika ofisi zake ztakuwa tanganyika, sasa je serikali ya tatu ofisi zake ztakuwa wap?
  6. J

    Tudumishe muungano

    Leo ni kumbukumbu ya kifo cha Rais Karume aliyekuwa rais wa kwanza wa Zanzibar, Ni watanzania wote tunamkumbuka leo yaan bara na visiwan, Watanzania leo tumepunzika tukiadhimisha sikukuu hii iliyotokana na muungano, hakuna wanafunzi walioko darasani leo, hakuna wafanyakazi walioofisini leo,Ni...
  7. J

    Tusidanganywe hati ya muungano ipo.

    Wapinzani acheni kubabaika, maana mmekuwa mkishiriki katika chaguzi mbalimbali na chopa zenu mwisho mnaambulia kipigo, mfano Kalenga na Chalinze ni vipigo viwili vinavyowachanganya na kuamua kuwadanganya watanzania, na kutokana na stress za mara kwa mara mnaamua kuwadanganya watanzania et hati...
  8. J

    CCM waomba "POO" kiaina

    hamna jipya vapour tupu
  9. J

    Hoja za Mwalimu Nyerere kupinga serikali tatu Tanzania

    Nimejaribu kufuatilia suala hili ambalo wapinzani wamekuewa wakisema eti nyerere alikuwa muumini wa serikali3 nimegundua sio kweli. Nyerere alipinga vikali serikali tatu kwani katika kikao kilichofanyika tarhe 05/08/1993 kati ya rais mwinyi, mwl nyerere, katibu mkuu ccm, naibu katibu mkuu wa...
  10. J

    Swali: Hivi Muungano Tanzania Upo Kweli?! au ni Dhana Tuu?!. (Ufuatiliaji Muungano Sehemu ya I)

    hivi watu mnapungukiwa na akiki hivi tumedumu katka muungano kwa muda gan hadi hii leo unakuja kuhoji et kuna muungano. kwa swali hilo ninapta mashaka kama wewe ni mtanzania!
  11. J

    Makwaia wa kuhenga na serikali mbili

    Bora ungesema serikali moja ila kutaka3 ni kuvunja muungano
  12. J

    Serikali mbili haziepukiki

    ni kwanin tutengane lakini? tukianza kutengana tutengana mpaka katka masuala ya kijinsia.
Back
Top Bottom