Recent content by Jeitz

  1. J

    JamiiForums Tanzania Najuta kuchukua mkopo “Pesa X”

    Wana uwezo mdogo sio kama huo, binafsi nimewapiga 350k as a trial. Wana teknolojia ndogo na ndio maana wanarely sana kwenye vitisho. Wanangu wa Ethical Hacking mtanielewa ukishainstall app unamonitor traffick kati ya app yao na server zao utajionea vituko.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Pale Nilipoamua kuwanyoosha watu wa kukopesha mtandaoni

    Hamna ishu kama hiyo mm nilipita na hela za bongopesa, mkopo wako nk kama 350k hivi na bado nimeweza kukopa CRDB hivi karibuni. Inshort hawatambuliki BOT na wanakwepa kodi.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Besiktas kala chuma 5 nyumbani hadi sasa hivi..betting ni balaa
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    BETPAWA - Kaondoa Bonasi na anasua sua kwenye malipo. SPORTYBET - Aliondoa option ya kuflex mkeka kwa muda. 1xBET - Mawakala hawana float ya kutoa na hata kuweka. Wadau inshort watu wamepiga sana wiki hizi mbili.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ujumbe wetu toka Betpawa kuhusu mechi ya AZ Alkamaar.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkeka wa Mixer ulioletwa usiku wa leo umetiki. Shukrani kwa mdau aliouleta. Bless up
  7. J

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Yule mchezaji wa RB Salzburg aliyepewa kadi nyekundu katukosesha hela leo *****..kuna mkeka ulitumwa humu buku unakula hela ndefu yule mshenzi kauchana
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkeka uliokua unasurvive nao kanji anautaka..Granada kapata goli la pili
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Yaani RB anakosa penalti mbili. Betting tumeikosea nn sisi🤬
  10. J

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mapema kabisa nasema Lille ana uwekano mkubwa wa kuwa mchawi wetu wa leo.
  11. J

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Europa League mechi zote zimeshaleta magoli..ila huku Conference ni ujinga tu 0-0 kibao
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    24E738 - Sportybet
  13. J

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Daah nilikesha hadi nikastream mechi kila kitu kilikua poa hadi dakika 10 za mwisho
  14. J

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Yaah huu bwana tuzidishe sala hawa wabrazil wa usiku wa kuamkia kesho ndio mtihani🙏🏾
  15. J

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kuna mkeka wa mtu aliupost humu hii leo unangojea Roma asipoteze tu🙏🏾
Back
Top Bottom