Recent content by JeffHarry Jr

  1. J

    JamiiForums Tanzania Je,kuna uwezekano wizara ya afya kutoa majina wiki ijayo?

    Ebu tujarib kuchek 2012 ilikuwaje, inaonyesha walicheleweshewa ad Nov 23 rd, xo inaweza ikawa the same applied on 2012..., cha msingi kuipitia MOH website everyday paka pale tutakapo kutananayo mtandaoni.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Afya Afya! Mpango mzima tar 11 msihofu juu ya hili.

    MOH calender inasema on 11 th of oct NO EVENT, We unasema 2ku trust. Bro a2kutrust ata kidogo ila 2nakupa probability 2 maana washakuja wakujiita ma Dr. Araf wakasema cku 3 paka leo nitakribani week amna lolote katika website zaid ya matangazo ya ARV 2.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Afya Afya! Mpango mzima tar 11 msihofu juu ya hili.

    MOH calender inasema on 11 th of oct NO EVENT, We unasema 2ku trust. Bro a2kutrust ata kidogo ila 2nakuprobability 2 maana washakuja wakujiita ma Dr. Araf wakasema cku 3 paka leo nitakribani week amna lolote katika website zaid ya matangazo ya ARV 2.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Afya Afya Afya !Kitu bado sign tu.

    Izi taarifa ambazo sio official tumezichoka!!! Waungwana only a Advice just tutulie 2 mpaka pale yatakapowekwa kwenye web yao tuyachek; Ila izi Unofficially Inform zistopishwe!!!
  5. J

    JamiiForums Tanzania Wale wa wizara ya afya certficate

    Ngoja ngoja yaumiza matumbo!!! Washatufanya maboya awa ila kwakuwa tunashida ngoja tusubiri 2!!!
  6. J

    JamiiForums Tanzania clinical medicine,medical lab-Eckernforde tanga university

    Ebu chek umu ndani Mtu wang!!! Finance
  7. J

    JamiiForums Tanzania Wavuta subira Afya ! CLICK HERE..

    Ameen!!! Mwenyez atasaidia!!
  8. J

    JamiiForums Tanzania Wavuta subira Afya ! CLICK HERE..

    Yah!! TIA
  9. J

    JamiiForums Tanzania Wavuta subira Afya ! CLICK HERE..

    :disapointed:Next week zimekuwa nyingi jaman kama slogan za chama tawala na serikali yake mara hali mpya, maisha bora paka sasa BRN araf zikishindwa kufanya kaz utasikia atuna maana iyo, sa ngoja tusubili iyo trh 25 olewao wazingue tunashindwa kulipa ada uku kwengine tukitegemea uko!!!!:disapointed:
  10. J

    JamiiForums Tanzania Guyz anayejua kuhusu matokeo ya MOH!!!!

    Pouwa!!! Ngoja tusubir tushachoka kukaa om!!
  11. J

    JamiiForums Tanzania Guyz anayejua kuhusu matokeo ya MOH!!!!

    Kuna jamaa ckanitxt bhana eti ananiambia wametoa!!! Poa zikitoka tush2ane!!!
  12. J

    JamiiForums Tanzania Guyz anayejua kuhusu matokeo ya MOH!!!!

    Jamani eeeeh naona awa jamaa wanaweka watu roho juu; Anayejua kuhusu matokeo ya Ministry of Health and Social Welfare ebu anisaidie info alizonazo.!!!:help::help::help:
  13. J

    JamiiForums Tanzania Michael Scofield Ajitangaza yeye ni SHOGA

    Niliipata iyo Taarifa 2011 ila ckuamini kivile koz jamaa alivyo act mule ndani like a really Man kumbe choko daaaah!!!! Ila Co vitu vya kushangaa tumuombee 2 ili cku moja aweze kuzinduka nakujua kuwa ni Vibaya kwa Mungu koz ujui ya kesho unaweza pata m2 wa familia yako akawa ivyo either...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Fiesta ya cloudsfm jijini Dar. Show ya Jidejaydee na vinega chini ya EA redio siku moja.

    Bifu limekuwa kubwa sasa from FA, Ruge & now to clouds Media Noumer sana!!! Ngoja tuone hatima yake nin maana dada Jide anaringia Pesa wakati clouds wao Connection yao ndani till abroad!!!:tape::tape::tape:
  15. J

    JamiiForums Tanzania Sakata la Unga: Mwakyembe aagiza msanii Diamond achunguzwe

    Daaaah Binadamu bhana ukipata tabu ukikosa tabu Ebu muacheni ale jasho lake bhana, Hardworking Man!!! :A S 2152:Don't kill his Vibe:A S 2152:
Back
Top Bottom