mkuu wa mkoa ni mteule wa mtu mmoja tu raisi, wakati mbunge ni chaguo la wananchi wa eneo husika, ccm imelala usingizi wa pono siku ikizinduka itakuwa too late, uyu Rc wa Arusha ni zaidi ya tatizo kwa mkoa wa Arusha anajiona yeye ndo yeye ila time will tell. shame on him.
Habari za jumanne wanajamii nilikuwa natoka mjini naelekea kona ya bwiru Hapa jijini Mwanza, kuna vurugu kali kati ya polisi na madereva wa boda boda zinaendelea. polisi wanarusha mabomu ya machozi na risasi, chanzo cha vurugu ni polisi kukamata piki piki za madereva hawa wa boda boda, hivi hizi...
Mie ni kijana wa miaka ishirini therathini sas, natafuta mwanamke mtu mzima tufanye maisha, ninaishi mwanza na nina elimu nzuri na pia kazi . yoyote mwenye sifa hizo tuwasiliane kupitia namba yangu ya simu ambayo ni 0765315802.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.