Recent content by Jeezlejerry

  1. Jeezlejerry

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya wachawi

    Okay ilikuwa hivi… kuna kijana alikuwa anakaa singida na Kaka yake .. kwa muda huo alikuwa amemaliza darasa la saba .. sasa alikuwa anakaa tu nyumbani na Kaka yake Ila alibahatika na kipaji cha kutengeneza vitu… basi kuna siku pikipiki ya Kaka yake ilikuwa mbovu na alikuwa na safari kidogo basi...
  2. Jeezlejerry

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya wachawi

    Hii story naikumbuka yote… ngoja Nita andika Kama ilivyo nikipata muda
Back
Top Bottom