Uvaaji huu ni wa kibiashara zaidi kwani siku hizi ukienda hata makanisani utakuta wanavaa suruali tight, viguo vifupi...yaani hawamwopi hata allah. Mimi nadhani umefika wakati wakati wa kuelezana ukweli hata kama ni utandawazi basi iwe globalization ya kibongobongo na siyo kama ya Hollywood basi...
Hivi Hawa jamaa hawaoni haya.... hata kama ni kukomaa sio kiiivyo... wajiuzulu bwana tushachoka na type hizi za viongozi..uzembe huu wa sasa hauvumiliki...Hivi mwinyi hajifunzi kutoka kwa Baba yake mwaka 1972 alijiuzulu na heshima yake ikabaki palepale...watuachie nchi yetu bwanaa..
Mwendapole
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.