Kuna mtu aliniazima pesa kiasi cha laki tano nikaelewana nae nitamlipa laki sita lakini mambo hayakuwa sawa nikamuomba kumlipa kidogo kidogo na tuliandikiana kwa karatasi tu kishikai sisi wenyewe wawili.
Lakini leo ameenda nishitaki mahakama ya mwanzo na wameniletea samansi lkn ameandika kuwa...
Sababu kuwa wanadai hana maadili kutokana na mavazi anayovaa,pmj na familia yao inashida lkn mim naona ni kwakuwa bado mdg mamb hayo ya mavaz ataacha tu cz nmeshaongea nae kuhusu hilo
Mimi nina mwanamke kiukweli nampenda sana na yeye ananipenda na tumejaaliwa kupata mtoto mdogo wa kike, lakini nyumbani kwetu hawamtaki hasa mama yangu mzazi pamoja na dada zangu.
Ukizingatia mama yangu ananipa sapoti kubwa na mambo mengi amenitendea kunilea, kunisomesha kuanzia shule ya msingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.