Recent content by JayMoetz

  1. J

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mshirika wa biashara ya usindikaji unga wa sembe

    Upo Sahihi Kabsa Ni kwel yaan me Sio Mbinafsi napenda kushirikian zaid kwa MOYO saafi naamim kushirikian na mtu Ndio Daraja la Kujitengenezea watu Muhimu kweny maisha bila kumkwaza yeyote alie kuzunguk kweny utaftaj wa MAISHA Binafsi najion kijana nina Safar ndefu ya Kuyafikia mafanikio...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mshirika wa biashara ya usindikaji unga wa sembe

    Upo Sahihi Kabsa🙏
  3. J

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mshirika wa biashara ya usindikaji unga wa sembe

    Ni fursa kama Fursa Zingine Nashangaa kuona wew unasema unasumbuliwa Hapa nitasonga na mwenye kunielewa kila kitu maridhiano ndugu
  4. J

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mshirika wa biashara ya usindikaji unga wa sembe

    Ahsante Kwa Kufikiria hvo ila nitaenda na alie Siriazi katika hili Hakuna cha Tapeli Hapa Ndugu Usinichafue Kijana Wa Watu🙏
  5. J

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mshirika wa biashara ya usindikaji unga wa sembe

    Ahsante Kunielewa But Kuna walio Jitokeza Nimewasiliana nao Japo Hawajafika milion 3 hvo Sina Tamaa na Pesa Ya Mtu ila Nina nia ya kufany kazi na mtu ndo man nimekataa hyo chin ya milion 3
  6. J

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mshirika wa biashara ya usindikaji unga wa sembe

    Kwa kwel inshaallah Mungu atafungua njia🙏
  7. J

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mshirika wa biashara ya usindikaji unga wa sembe

    Nili replay tayar Pia Tuwasiliane Namba nimetoa Niko wazi Kujibu utakacho uliza ili uwezekujua Mfumo mzma
  8. J

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mshirika wa biashara ya usindikaji unga wa sembe

    inshort Biashara ya Uwakika Hii Ndio imenifikisha Hapo Kutengeneza na Kumiliki Ofisi Yangu Hyo kwaatakae Wiwa Kupushi Nilipo ishia kwa kiasi cha milion 3 tukapiga kazi Na yeye atategeneza Faida Kubwa Kwa kile alichoingiza kwa hii Biashara Apo Soko la uwakika Tutauza ...Sembe,Dona .....Pumba...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mshirika wa biashara ya usindikaji unga wa sembe

    Kwa Maelezo Zaidi Tuwasiliane 0626825468 SINGIDA
  10. J

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mshirika wa biashara ya usindikaji unga wa sembe

    Ahsante Sana Kwa Wako Ushauri 🙏🙏Ndio Mana Nikaogopa Kukopa Hasa kweny Taasisi Binafsi za Mikopo kama ASA Maana walikua tayar Kunipa Mkopo Muda wowote Muhimu nipate Mtu Mwenye Nia Ya Dhati Kwa Biashara Naamin Tutafany kazi Mana Tayar nina Uzoefu wa Biashara Hii Na wateja Ninao sio wa kuwatafta sana
  11. J

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mshirika wa biashara ya usindikaji unga wa sembe

    Hapana Kulingana na nimetaja kiwango cha milion 3 tunawekeana Mkataba kwa kazi kwa miaka mi tatu Tayar Mwekezaj na yeye ametengeneza Faida zaid ya Hyo Milion Tatu Pia akipendezwa bdo anaweza kuongeza mkataba tukaendelea na kazi kwa kutengeneza faida zaid Anhaa Sawa Kumbe n 12% Yes kweny...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mshirika wa biashara ya usindikaji unga wa sembe

    Hapana Kulingana na nimetaja kiwango cha milion 3 tunawekeana Mkataba kwa kazi kwa miaka mi tatu Tayar Mwekezaj na yeye ametengeneza Faida zaid ya Hyo Milion Tatu Pia akipendezwa bdo anaweza kuongeza mkataba tukaendelea na kazi kwa kutengeneza faida zaid kwa pande zote
  13. J

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mshirika wa biashara ya usindikaji unga wa sembe

    Nimeweka Wazi kwenye Maelezo Kuwa Nipo SINGIDA Nimeweka Wazi Kwenye Maelezo nipo SINGIDA
  14. J

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mshirika wa biashara ya usindikaji unga wa sembe

    SHUKRANI kwa Wazo lako Pia ntalifanyia kazi Japo ASA wana riba kubwa sana Wanakopesha kwa Miezi6 ukiitaji Milion 3 (Gharama Za Mkopo za awali 337,500)wanakupa Cash 2,655,300 rejesh kila week 133,500 ndan ya Miezi 6 (Week25) 133500×25(Weeks)=3337500 Me sio mtaalamu lakn naona Riba zao mbona za...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mshirika wa biashara ya usindikaji unga wa sembe

    Ndio ila Napenda Niweke Wazi Mfan nimeekeza M12 lengo langu si mwekezaj aje na m12 Nimetaja kima cha chini Tsh 3M ili kufikia kukamilisha hatua ilio Bakia yaan Umeme na kuanza Uzalishaj Moja kwa Moja Mwekezaji awekeze na Tuanze Mchakato wa kufikia malengo kutengeneza Faida Kwa mkataba Maalumu...
Back
Top Bottom