Kwani msimamo wake ni upi? mbona unataka kumpa kitu asicho kisimamia.
Ukitaka kujua msimamo wa Kakobe fatilia mafundisho yake na sio kuona akikemea jambo flani then unamdhania hivyo.
Msimamo wa Kakobe ni kuhubiri injili isiyogoshiwa. Na kukaa kwenye kweli ya neno la Mungu kwa gharama ya kifo...
Kanyooshwa kivipi, si TRA walienda waka kosa kitu, Uhamiaji nao wameenda hola, sasa kumpongeza Raisi on specific things ndio kunyooshwa.
Kumbuka yeye ni mhubiri wa injili ya Yesu Kristo. na Yesu alisema alikuja kwaajili ya wenye dhambi sio wenye haki.
Kama unamuona Raisi ni muovu basi ndio...
Nampogeza sana mtoa post hii taarifa imeshiba haswa na imezingatia uwazi wakutosha..
Sasa jamaa walioramba posho(perdiem) sijui wameishia wapi??
By the way walishampa passport yake Kakobe au bado wanaikumbatia wakidhani watapata upako kwa hila..... hahahaahahahahaa........
Nashangaa watu wanavyozidi kujadili kuhusu Askofu Kakobe.... mdajala umeshafungwa..... TRA imeonekana imesema uongo kwa nia ya kuchafua Kanisa la FGBF na Askofu wao ....
Sasa tuachane na midajadala isiyokuwa na tija.... tuangalie mambo yalionatija kwa sasa.....
Inamana hatuoni vuguvugu la...
Hahahahaaaaa...... majitu bahili utayajua tu.... unafikiria ulivyo bahili kutoa sadaka ndio wote walivyo.....
Sasa 8bil. Mbona vijisent tu hivyo.... waumini......
Inaoneka jinsi gani ulivyo mvivu kufikiri unadhani Askofu Kakobe hana access ya kujua aliehamishwa kapelekwa Wapo.. ... Kwa taarifa yako miongoni mwa hao hao waliokuwa wanamkagua watakuwa wamempo mtonyo huo.......
We kalia kufikiri ndani ya uwezowako mdogo..........
Mkuu jitahidi kuwa mfatiliaji wa mambo. Mbona hiyo kauli alitoa kipindi cha Kikwete 2014.... n.a. TRA hawakumfata au ndio imekuwa hoja kwao baada ya MTUKUFU MFALME RAISI MAGUFULI kuambiwa atubu?
Jaribu kuwa na hakiba ya maneno..... ushabiki wako peleka kwenye vyama ila sio imani na kiongozi wa kiroho.... madhara yake huwa ni makubwa... jikite kwenye hoja
Wanajua hawana yakusema ndio maana wamepiga kimya..... tunavyowajua hawa wapenda kiki sana wangekuwa wameshatoa mrejesho the same day..... sasa watoe nini zaidi ya aibu.....
TRA mngeenda kimya bila publicity hofu isingekuwa kwenu huu ya mrejesho wa Leo
Nyie ndio mtakipata mnachotafuta Kwa Askofu Kakobe, kama sio utajiri (wokovu) alionao basi laana kubwa sana toka kwa Mungu anaemtumikia..... unadhani ni mvaa ilizi kama ninyi..... hahahaaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.