Recent content by jaycolonel

  1. J

    Msaada kilimo cha hoho

    Wadau naomba ushauri kuhusu soko la cherry tomatoes (red and yellow) kwa mkoa wa dar. Nimelima morogoro natarajia kuvuna baada yya miezi miwili
  2. J

    BMW 3 Series 2005 Engine 1900cc Silver For Sale

    ila kwa foleni za dar its understandable gari kula mafuta, Hizo mileage ninazopata mimi kwenye 1HZ ni sababu naishi miji haina foleni sana. Mwanza na morogoro
  3. J

    BMW 3 Series 2005 Engine 1900cc Silver For Sale

    Dah sikujua kama petrol cars zinakula mafuta kiasi hiki. me natumia 1HZ Land cruiser GX (4164cc) kwa town trips inakula 1L/8km full ac na kwa safari mostly hua ni 1L/8.1Km sababu hua nakimbia sana hadi 150km/h
Back
Top Bottom