"hata km asiwe km manara lkn ni muhimu yanga kumpata wa kutufariji sio kila siku tunatukanwa cc tuko kimya km hatuna midomo'
'mm nijuavyo km ngenga huwezi bc ngumi lzm ichukuwe zamu ya mdomo sasa sio ngumi hutumii na mdomo hauongei nini maana yake"
"cc tunaofuatilia hbr mitandaoni tunaumia...
Mm yanga ila hz tabia za kulalamika kila cku sizipendi ata kidogo. Tuseme makonda alimbambakizia kesi manji vp MO aliyetekwa siku tisa? Emu tutafte ustaharabu mwingine tujenge timu yetu wenyewe sio kila siku kulialia.
"kwa maneno haya ww sio mwanayanga' kutekwa hakuwezi fananishwa na...
Write your reply...ktk siku moyo wangu umefurahi bc leo zaidi' ni kweli kbs yanga bila kuharibiwa hii ya club bingwa ilikiwa tuwe cc yanga na hata mabadiriko yanga ilikuwa ya kwanza kwa mpango wa manji kasi aliyokuja nayo' lkn hawa wenzetu leo wana tukejeli na kujiona wao ndio wa kwanza kufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.