: MALOFA NA WAPUMBAVU KATIKA UBORA WAO:
📌SLAA
Lowassa tumemtaja kwny orodha ya watu wanaolitia hasara taifa List of Shame.
📌Mbowe
Nawashangaa wanaowachoma moto vibaka na kumuacha Lowassa akikamua mitaani.
📌Mch. Msigwa
Anayemuunga mkono Lowassa apimwe akili haraka...
Acha wivu wa kijinga yani ata kazi hawajaanza ushaanza maneno ya kike ww endelea kuzungusha mikono.
Unamsema Mwakyembe na Mwigulu kua wametia hasara taifa vip Lowassa mliyemsema miaka na miaka mkamsafisha dakika 5.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.