Sasa mfano kama hauna mtu anayeweza kukusaidia kuwa winga uko unafanyeje apo maana hata mimi natamani nianze hii mishe shida connection na mimi natamani nianze kwenye vifaa vya umememe mean blenda sabufa nk yani vyote vitakavyohusika na umeme
Winga wa bidhaa za umeme Ila kama Kuna nyingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.