Recent content by jastertz

  1. jastertz

    Tetesi: Tanga: Kinachoendelea Tanga kinatishia usalama wa raia na mali zao.

    Habari, Taarifa zisizo rasmi Tanga mjini imejikuta katika hali ya sintofahamu kutokana na uvamizi wa watu nyakati za usiku na kuporwa. Waandishi wa habari Tanga wamenyamaza hawaripoti taarifa kama hizo ili watu wawe makini katika shughuli zao,,, tukio kubwa limetokea barabara ya 3 kwa...
  2. jastertz

    Job opportunity

    michongo ya hivi huwa ndio yenyew,,
  3. jastertz

    Ukinunua Dawa ukazidishiwa na Daktari/Muuzaji huwa unasema au unakausha?

    Habari zenu, Kuna ile tabia unaenda dukani unanunua kitu unazidishiwa au chenji inarudi imezidi.. Kuna wengine waungwana husema papo hapo na kuna wengine hutoka na speed 120km/h bila kuangalia nyuma asije kuitwa. Sasa tuje upande wa matibabu. Ikitokea umeenda kununua Dawa iwe Dukani/Duka la...
  4. jastertz

    Hatuna hata movie moja iliyoigiziwa Mlima Kilimanjaro

    MOVIE YA ROYAL TOUR NI WIMBO AU SIO
  5. jastertz

    Wanaume mna roho mbaya ndiyo maana mnakufa mapema

    Wakati wa tendo yeye anafanya akifika mshindo amwage nje,, wewe na hamu zako unamshikilia kwa nguvu ili asimwage nje, Pole sana dada next time uolewe kwanza
  6. jastertz

    Sioni haja ya kwenda chuo

    elimu ni hazina isiyofutika... biashara hufilisika, elimu ukishaipata umeipata
  7. jastertz

    Prayers, hardworking and discipline

    Kwa haraka haraka hapo ni kama 1,200,000/= kwa mwezi na hapo hakuna makato. anyway keep pushing, obey the road signs you will.
  8. jastertz

    Binti yako kama hana elimu asikanyage Dar es Salaam

    kwa sababu una akili ndio maana unalielewa hilo, ila hamna aliyepotoshwa hapo. mimi nimetoa elimu kwa wanaoingia dar wasiige maisha ya watu, au wazazi wawafatilie watoto wao pindi wanaenda kwa ndugu na kukaa muda mrefu.
Back
Top Bottom