Recent content by Jason Bourne

  1. Jason Bourne

    CHADEMA imepona, CUF itapona? Mchezo wa uwezo wa ujasusi unaendelea!

    Juzi wamejiunga makada wa ccm 32 mjini magharibi Zanzibar na wamepokelewa na Maalim Seif
  2. Jason Bourne

    CUF: Taarifa kwa waandishi wa Habari juu ya Kujiuzulu Mwenyekiti Prof. Lipumba

    Leo tarehe 6 Agosti, 2015 Profesa Ibrahim Lipumba aliitisha mkutano na waandishi wa habari katika Hoteli ya Peacock, mjini Dar es Salaam na kutangaza kwamba amejizulu nafasi yake kama Mwenyekiti wa Taifa wa Chama Cha Wananchi (CUF). Sisi kama Chama tumezipokea taarifa hizo na tunayaheshimu...
  3. Jason Bourne

    CHADEMA imepona, CUF itapona? Mchezo wa uwezo wa ujasusi unaendelea!

    Dawa ya moto ni moto, ukawa tumieni moto huo
  4. Jason Bourne

    CHADEMA imepona, CUF itapona? Mchezo wa uwezo wa ujasusi unaendelea!

    Upo tayari kupokea mambo magumu?
  5. Jason Bourne

    CHADEMA imepona, CUF itapona? Mchezo wa uwezo wa ujasusi unaendelea!

    Imetimia tayari Lipumba kajivua uenyekiti wa CUF
  6. Jason Bourne

    CHADEMA imepona, CUF itapona? Mchezo wa uwezo wa ujasusi unaendelea!

    Kuwa na taarifa ni nusu ya ushindi! Hutaki, unaacha!
  7. Jason Bourne

    CHADEMA imepona, CUF itapona? Mchezo wa uwezo wa ujasusi unaendelea!

    Nguvu kubwa ya caldone ikiongozwa na majasusi waliokubuhu Kardinal Pengo, Pinda, Membe na vijana wa kazi ilikuwa imetua Chadema kwa mwezi mzima ikipita mlango wa nyuma, Heko Chief Rwakatare na kikosi chako kwakuzuia hayo hasa ukitumia mfumo wa external battle bird ambao umewaacha hoi majasusi...
  8. Jason Bourne

    Hatimaye Dr. Slaa aonekana, asema kuzungumza muda ukifika

    Kuna mission imehamia side two, Take care!
  9. Jason Bourne

    Dr. Slaa: Uongo ni dhambi na siko tayari kuishiriki!

    Politics and political verification,
  10. Jason Bourne

    Mkuu wa Majeshi nchini, Gen. Davis Mwamunyange atishia kujiuzulu

    Ilani ya Moderator: Thread hii imefungwa hadi uthibitisho wa madai haya utakapoletwa kuliko kujadili uzushi au porojo tu. Mhusika amepewa masaa 48 kuwa amethibitisha alichoandika chini ili hoja hii iendelee au iondolewe kabisa naye kuwajibishwa.
  11. Jason Bourne

    Tazama na fikiri kwa jicho la tatu nguvu ya ACT nje ya NCHI

    Im not a politician, take care
  12. Jason Bourne

    Tazama na fikiri kwa jicho la tatu nguvu ya ACT nje ya NCHI

    Do you know The Tanzania Intelligence Act? Chadema wangejidanganya wasema wanaifahamu hii chama kingefutwa siku hiyo hiyo. Try to read the Rep of Tz constitution of 1977, Sehemu ya Tatu, ibara 18-(1-2).
Back
Top Bottom