Recent content by Jasili2

  1. J

    Baraza kivuri la shirikisho/ukawa

  2. J

    Tangu mwanzo serikali ya CCM haikuwa na dhamira ya katiba mpya na haitakuwa nayo milele

    Duh!,punguza jaziba bro!! Mambo mazuri hayataki haraka,mchakato huu ni mzito unaitaji muda na umakini usio na lawama hebu tuwe wavumilivu jamaa wafanye kazi itakayo dumu zaidi ya miaka 50.ushapanic bro!
  3. J

    Kazi nzuri Tundu Lissu Antipas!

    Hakuna kifungu cha kipuuzi hata kimoja katika rasimu ya kanuni!,kila kifungu kina maana na kizuri japo kinaweza kuboreshwa au kubadilishwa kulingana na hoja za mjumbe au wajumbe. Vilevile sio hoja zote ziletwazo na mjumbe za marekebisho zinaweza kuwa na maana hasa ziletwazo na watu mnaowaita ni...
  4. J

    Kazi nzuri Tundu Lissu Antipas!

    Hakuna kifungu cha kipuuzi katiba rasimu ya kanuni!,vyote vina maana nzuri sana japo vinabadilika kulingana na unavyoweza kuvijengea hoja. Hata huyo tindu sio zote anazopinga anakuwa na hoja za msingi,kuna wakati anapinga hoja ambazo ziko sawa kabisa basi tu kwa sababu yeye anti....makubaliano...
Back
Top Bottom