Recent content by Jareka Uandishi

  1. J

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kukuza na kuendeleza Elimu Tanzania

    Vizuri
  2. J

    JamiiForums Tanzania Leo ni kilele cha wiki ya tafsiri

    Tujue kwanza tafsiri ni nini? Tafsiri ni uhawilishaji wa maudhui kutoka lugha moja kwenda nyingine. Tafsiri inakupa maana iliyolengwa katika lugha ya kwanza kwenda lugha lengwa. Kuanzia tarehe 24 septemba ni wiki ya tafsiri ambayo kilele chake ni 30. Kwa nini tarehe 30? Ni kwa sababu ilikuwa...
  3. J

    JamiiForums Tanzania SoC01 Elimu ni Msingi kwa Mtoto

    Kulitambua tatizo ni sehemu ya kuondoa tatizo. Sauti ipae, binafsi nimefundisha tena hatua hii lakini unakuta mitaala haijawekewa nafasi ya mtoto kusoma kimatendo kwani hata mwalimu anakuwa anasubiri kutathiminiwa na matokeo yake ya mtihani. Kwa hiyo anaweza kupunguza muda wa kukuza ubunifu...
  4. J

    JamiiForums Tanzania SoC01 Maswali yaliyogonga kichwa ushindi wa lazima

    your vote to increase awareness please
  5. J

    JamiiForums Tanzania SoC01 Maswali yaliyogonga kichwa ushindi wa lazima

    Je, ni kweli hakuna ajira kisa wasomi ni wengi? Kusema wahitimu hawana uwezo wa kuajiriwa au kujiajiri? Je, vijana tunaelewa kuwa maendeleo ni mchakato na si kulala masikini ukaamka tajiri? Je, tumegundua kuwa elimu ya sasa na ile ya miaka ile ni tofauti kitakwimu kabla ya kusema kwa nini...
Back
Top Bottom