Nimelipa gharama za kufungiwa maji na vifaa nimenunua tangu tarehe 2 January 2024 lakini wanazungushana kutoa mita.
Mhasibu anasema mpaka fundi aje na fundi anasema mpaka aitwe kwenye kazi. Kama vile hakuna ushirikiano wa kazi lakini wao ofisi moja.
Mitihani ya kufunga muhula kwa shule za msingi huwa inalipiwa na wazazi au serikali hutoa mitihani kwa gharama zake?
Hii ni mara ya pili mtoto anatumwa hela ya mtihani.
Utangulizi
Uwajibikaji ni neno la Kiswahili linalotokana na neno 'wajibu' likiwa na maana ya jambo la lazima ambalo mtu au watu fulani kulifanya. Uwajibikaji wa malezi ya watoto katika familia, jamii na hata taifa zimandio hulea mabadiliko (manufaa au yasiyo na manufaa) katika jamii au taifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.