Recent content by Jappe

  1. J

    JamiiForums Tanzania Aende degree ipi kati ya hizi: Civil, Mechanical, Electrical, Mineral au Data Science? Matokeo yake ni GPA 1.6 (PCM)

    1. BSc in Data Science & AI 2. Bachelor of Science in Geographical Information Systems and Remote Sensing.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua faida za kusoma nje ya Nchi (Bachelor of Science In Agricultural Engineering)

    Mkuu umeandika Maneno ya kufikirisha Sana. "Umeshindikana, unamzibua, kutoka nje ya ndoa, umanju, ngonjera, intertwined, michepuko, AMBIQUITY, haina shobo" Shehe wangu umeniacha njia panda.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua faida za kusoma nje ya Nchi (Bachelor of Science In Agricultural Engineering)

    Sawa Kaka. Nimekupata vizuri. Shukrani.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua faida za kusoma nje ya Nchi (Bachelor of Science In Agricultural Engineering)

    Kiongozi, Lengo siyo kupata dada wa Kihangaria na kuishi huko. Lengo ni kupata Elimu ambayo itakuwa msaada kwangu na Kwa jamii inayonizunguka nyumbani Tanzania.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua faida za kusoma nje ya Nchi (Bachelor of Science In Agricultural Engineering)

    Hapa sijakuelewa. "Wanpelekaga uswahili adi abroad" how?
  6. J

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua faida za kusoma nje ya Nchi (Bachelor of Science In Agricultural Engineering)

    Kaka inaonekana unapafahamu vizuri huko. Safi Sana. Asante Kwa Information.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua faida za kusoma nje ya Nchi (Bachelor of Science In Agricultural Engineering)

    Kaka siyo Urusi!!! Pia Chuo kipi cha Veta pale Dodoma kinatoa Shahada ya Kwanza ya uhandisi katika Kilimo?
  8. J

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua faida za kusoma nje ya Nchi (Bachelor of Science In Agricultural Engineering)

    Kwahiyo Kiongozi Faida ya kusoma nje ya Nchi Bachelor of Science in Agricultural Engineering ni kupata mdada wa Kihangaria?
  9. J

    JamiiForums Tanzania SoC02 R.I.P ip_mob, JF member aliyebadili maisha yangu

    Sawa Mkuu.
  10. J

    JamiiForums Tanzania SoC02 R.I.P ip_mob, JF member aliyebadili maisha yangu

    Hahaha... Kabisa Mkuu.
Back
Top Bottom