Recent content by japhethy

  1. J

    Unawajua watu weusi (waafrica) ndani ya bible?

    kwa kifupi tu ! waafrica sisi hasili yetu ni Adam,na sio sisi tu ,ni binaadam wote hao unaowaona hapa ulimweunguni hasili yao africa. ispokuwa basi ,wengine wamebadirika badirika rangi kwa sababu ya hali mbaya ya hewa kipindi hicho wakati shetani alipowangia na kuanza kutambaa na kutafuta...
  2. J

    Ni maana ya hiki kitu kilichonitokea?

    Naitwa japhethy, kunasiku nilkuwa naota juwa katika mji mmoja wa Spain unaitwa Bercelona, cha ajabu nilipokuwa naliangalia juwa kikatoka kitu kwenye juwa na kunipiga katoka paji langu la uso na kujihisi kimetoboa na kutokea kisogoni. Na wakati uwo uwo nikaanza kusikia sauti kubwa kutoka...
  3. J

    Passport: Maombi ya Hati ya Kusafiri ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Naomba mnisaidie ndugu zangu! Hivi sheria za maombi ya passport zinasemaje? na ukishaiomba unatakiwa ukae ukisubiri baada ya mda gani ? na issipotoka katika uo mda kisheria ni nini unachotakiwa kufanya ? Natumaini mtanisaidia maswali yangu. Asanteni!
  4. J

    COINCIDENCE: Moja ya ushahidi wa uwepo wa Mungu

    kumbuka anaeongoza ulimwengu kwa sasa ni lucifer MUNGU hausiki kabisa na mabaya yanayotekea apa. na msaada wake kwa wanaopatwa na matatizo ni kifo ,yani ufe afu yeye atakupokea kama yule tajiri alivyompokea mwana mpotevu na utapumnzika kwa amani kisha utarudi tena kuishi apa ulimwenguni ktk...
  5. J

Back
Top Bottom