Hili suala la Bunge live linahitaji mjadala mpana sana, nikiri kuwa Bunge halijatenda haki, watanzania wana uhuru wa kupata habari, kinachoonekana na kupindisha hii haki, naomba vyombo vya habari kwa umoja wao, na wadau wengine wa habari na haki za wananchi, tujadili hili jambo na tuoneshe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.