Tena kama haamini ajiulize tu rahisi kuwa nani alijua Samia Hasan Suluhu atakuwa rais wa nchi yetu? Dunia na asili ina mengi na inaweza kukushangaza muda wowote kwa namna ya ajabu usiyoitegemea. Naungana na mtoa mada,ubinadamu na kuwatendea kwa staha wapinzani wetu kwenye siasa ilipaswa iwe...
Ni kwel elim yetu haithaminishwi hivi na walio bahatika kushika nyanja na taasisi mhimu km za tcu???hawawez waza hata kidogo adha tunayopata kubishana na kupata viholo visivyo na maana wakatutolea majina tukawa huru na maandaliz ya kujiunga na hivyo vyuo?jaman si watoe general notice ya...
Tatzo lako uko over ambitious maana ulilenga ud,pole sana labda nikuambie tu kuwa unahaki zote za kupata chuo na bodi ipo kwa niaba ya watz wote regardless lini walimaliza so ungoje tu km udom bado huko huko utapata,usijiwekee uhakika na vitu ambavyo huna maamuz ya moja kwa moja navyo,mengne...
Kwa anaejua hili,hasa waliowahi tumia cas;je, kwenye selection ya hizo coz tano mwanafunzi alizoomba wanamchagua mwnfnz kwa kufuata prfence yake alivoomba au ni vice versa au randomly???
Make re-application b4 15th of this month under a single fauculty that you will be given via ua acc.otherwiz u will be a looser,never mind bcz where there z a will even the way z there too.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.