Recent content by Jankidust

  1. Jankidust

    Fursa Biashara ya supu na chapati

    Ndio nimeshapata na mkuu na mtu wa kufanyanae pia nimeshapata shukran🙏
  2. Jankidust

    Fursa Biashara ya supu na chapati

    Habari wakuu, Natafuta binti alie tayari kwa kufanya biashara ya kupika chapati na supu na kuuza. Awe anaishi maeneo karibu na Ubungo. Mfano Magomeni, Manzese, Mwananchi, Buguruni,Sinza, Kimara,mabibo n.k). Nitatoa kila kitu (mtaji na vyombo pia) faida tutagawana kwa maelewano tutakayo...
  3. Jankidust

    Fursa Biashara ya supu na chapati

    Habari wakuu, Natafuta binti alie tayari kwa kufanya biashara ya kupika chapati na supu na kuuza. Awe anaishi maeneo karibu na Ubungo (mfano Magomeni, Manzese, Mwananchi, Buguruni, Sinza, Kimara n.k). Nitatoa kila kitu (mtaji na vyombo pia) faida tutagawana kwa maelewano tutakayo kubaliana...
Back
Top Bottom