Recent content by Janja weed

  1. J

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa madereva wa mabasi ni haramu hawatakiwi kuchekewa

    kwani kuna shidoooooo siwalinunua mi yutong kibao ya kampeni kama vipi wapige nayo ruti ili wenye mabasi wakafugie kuku kama wanaweza, nchi inendeshwa na vilaza kila kitu kutumi nguvu tu.
  2. J

    JamiiForums Tanzania DC Msando aagiza Mabasi yote yaondolewe stendi ya Magufuli, na kuyapeleka yadi kwao hata kama yana abiria

    "when a mosquito lands on your testacles you will realise that not every problem is solved violently, some needs diplomatic ways" Nimeamua kuongea kiinglishi kabisa.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Handeni, Maryam Ukwaju, anatumia vibaya madaraka yake

    mtu anaitwa ukwaju tangu lini akawa na akili? watu wanateuana kutokana na unaniliu wao na viongozi, unategemea kuna ufanisi hapo? nchi inajiendea tu kama bendera fuata upepo, yaani unashangaa huko serikalini watu wamepewa mavyeo hata uwezo wala elimu hawana na wanajifanya wanajua kila kitu.
  4. J

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Maeneo ya wazi (Open Spaces) yote yawe na hati, itaondoa migogoro na kuthibitisha uhalali

    zero brain ,ukiangalia kinachoendelea ni upuuzi mtupu zile open space za tanroads kwenye barabara ya morogoro nimembiwa kwa sasa jamaa wanajenga sheli , kumbi za starehe , bar mpaka car wash, sasa najiuliza yule mwendazake aliyewavunjia watu hayo maeneo alikuwa na maana gani? watu wanavunjiwa...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Huyu kigogo kapewa Maokoto na wazabuni wengine amchomoe mzawa wakae wakulungwa, Safari ya kukutana na kiongozi wa Baka imezaa

    Na bado kuna mamikataba mengi sana shetani na mama mkwe wake wamevunja na mingine wanaendelea kuvunja ,kuna siku ambayo inakuja tena kwa haraka sana nchi itapigwa mnada kwa ajili ya hawa umbwa. Karibia tutaelewana tu.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wa kiafrica wanatembea kwa miguu huko New York na ulinzi hafifu wakati wakiwa hapa nyumbani ni miungu watu?

    umungu kwenu tu huko huku ni nyani kama nyani wengine tu, jitu linauuuuaaaaaaa ili eti liongoze SHAME
  7. J

    JamiiForums Tanzania Unadhani kwanini Salim Kikeke amedharauliwa na kupuuzwa na wananchi, Tofauti na alivyokuwa BBC?

    sio kitu cha ajabu kwa mafiisiiemu kwani hujaona hata wana viti maalum vya wanaume? hao jamaa ni janga kuu.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Picha :TARURA ilala tunaomba mturekenishie kalavati

    yaani tarura hawa hawa wanaomiliki bstola za ma toy? hhaaaaaaa nimecheka kwa suti, bongo bahati mbaya sana.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Unadhani kwanini Salim Kikeke amedharauliwa na kupuuzwa na wananchi, Tofauti na alivyokuwa BBC?

    huwezi kujenga brand kubwa kwenye media kubwa duniani then uje uwe chawa wa ali kiba utadharaulika tu, utaonekana hata huko ulipokuwa ni ushirikina tu ndio ulikuwa unamuweka huko. njaa ni kitu kibaya sana.
  10. J

    JamiiForums Tanzania Ina maana hata wanahabari hawajajaribu kumtafuta Nchimbi?

    kama wanaojiita waandishi ni hawa kina mwijaku na kitenge unategemea nini? nchi imelaanika kabisa yaani wanataka kila mtu awe kiazi waendelee kula mema ya nchi kilaini. na ukitaka kujua hali imekua mbaya hata ukijaribu tu kumsema yule mungu wao wakike aliyeiwa na mme unaweza hata kuuwawa...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Makonda Atupilia Mbali Matangazo ya Jezi Mpya za Timu za Taifa. Mkataba wa mzabuni wa jezi hizo kuchunguzwa

    jizi tu lmeona hakuna lilichopata linaanza mafigisu.
  12. J

    JamiiForums Tanzania Leadership has nothing to do with controlling people but to solve problem

    Tulieni mama yuko Eda , na kabla ya hapo kumbukeni tuko kwenye auto pilot, ukijilazimishia madarakani ndio athari zake hizo. POLENI.
  13. J

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Apigwa risasi baada ya kujaribu kupora bank

    geshi la porishi aka fiisiiemu
  14. J

    JamiiForums Tanzania Mwamposa kunyanganywa madhabahu ya Kawe kufuatia malalamiko ya wananchi

    wapigwe tu kwani kuna mtu aliwaambia waende kwa hao wasanii? msanii anakusanya mihela tu ya wajinga hajengi hata choo, duh bongo bahati mbaya sana.
Back
Top Bottom