Recent content by janikilaj

  1. J

    JamiiForums Tanzania DDS_doctor of dental surgery

    Acha kutafuta kiki wewe
  2. J

    JamiiForums Tanzania Nacte na Tcu

    Kaka hii nchi ni baraa viongoz hawaeleweki kabisa na si kama unavyofikiria
  3. J

    JamiiForums Tanzania Diploma holder ingieni kwenye profile zenu

    Au 2.7, 2.8 na 2.9. Si lower second?
  4. J

    JamiiForums Tanzania Diploma holder ingieni kwenye profile zenu

    Hii nchi kwa kweli viongozi hawatendi haki maana ya jupunguza GPA 3. 5 TO 3. 0 INAMAANA GANI WALE WA 2. 7 , 2. 8, 2. 9 WAFANYE NINI NA NI ZITE NI LOWER SECOND
  5. J

    JamiiForums Tanzania Ushauri jamani

    Hakuna chochote
  6. J

    JamiiForums Tanzania Ushauri jamani

    Nina GPA 2.8, accountancy, niliapply kabla new GPA haijawekwa ya 3.0, nyumbani wananiona sifai hadi ninatamani kujiua ninapenda kuendelea na elimu ila kadri siku zinavyoenda ninazidi kuwaza sana na yote hayo sina hata kazi nifanyeje?
  7. J

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hapo ile torquay na dand&red ungewapa 2+ kwa uhakika zaidi
  8. J

    JamiiForums Tanzania Uharibifu wa viti zaidi ya 200 uwanja wa Taifa DSM wakati wa mchezo wa Yanga na Simba

    Viti vimekosa nn na ka hasira za nn mbona watoe viti m naona ulimbukeni tu
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Iko poa ila mlinde dotmond
  10. J

    JamiiForums Tanzania Jamani mnisaidie kwenye hili swala la kuripoti chuo na ishu ya mkopo

    But kuna vyuo ka st john ukianza tu chuo uwe umelipa ada yote na ukichelewa wiki 1 faini kulipa faini100000, pia ukichelewa mwezi 150000
  11. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania Institute of Accountancy mbona bado kimya

    TIA toeni basi majina mnawazisha watu sana mjue
  12. J

    JamiiForums Tanzania Diploma holders

    Acha tu, yaani hii ni zaidi ya kupatwa kwa elimu na viongozi wetu, awamu nyingine tujifunze kuchagua
  13. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania Institute of Accountancy mbona bado kimya

    Kama yamebandikwa na mmeyaona tupieni tuone nasi wapendwa
  14. J

    JamiiForums Tanzania Muhas Hiyoo, Nasubiria tuu jina langu hapa

    Huyo ni fara tu
  15. J

    JamiiForums Tanzania Sifanyi uchochezi ila Vijana wa Diploma walioomba kwenda Bachelor Degree Wakigoma ni halali

    Inability wawa angalia vizur Hao vijana maana kipind want apply Hawakuwajuza mapema kama GPA imeongezeka na hata hivyo wamewacheleweshea selection wakati wenyewe ndo waliapply mwanzo kama vipi wawarudishie pesa zao za walizotumia kuapply na fidia juu ya kuwapotezea mda wao wa kuapply
Back
Top Bottom