Recent content by jangala22

  1. jangala22

    JamiiForums Tanzania Naomba kwa mwenye kujua wanapouza viatu vya mpira kwa bei ya jumla Kariakoo

    Hapana mkuu nanunua tu piece kadhaa mchanganyiko
  2. jangala22

    JamiiForums Tanzania Naomba kwa mwenye kujua wanapouza viatu vya mpira kwa bei ya jumla Kariakoo

    Habari za majukumu wanajamvi Naomba kwa mwenye kujua wanapouza viatu vya mpira kwa bei ya jumla k.koo anisaidie mawasiliano yao.mimi napatikana mwanza.
  3. jangala22

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa utagaji wa kuku aina ya Kuroiler na SASSO

    Uzi umepoa wakuu
  4. jangala22

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa utagaji wa kuku aina ya Kuroiler na SASSO

    Ndio mkuu tunahitaji hiyo elimu ili tuweze kufuga ufugaji wa kuku wenye tija kama nchi zilizoendelea sio kufuga kimazoea mathalani ufugaji wa kuku wa kienyeji binafs nauona kama ni ngumu kutengeneza faida kubwa kwani uzalishaji huchukua muda mrefu sana japo sisemi ufugaji wa kuku wa kienyeji ni...
  5. jangala22

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa utagaji wa kuku aina ya Kuroiler na SASSO

    Sawasawa mkuu vp ndn ya mwez mmoja na nusu naweza anza na starter kisha grower
  6. jangala22

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa utagaji wa kuku aina ya Kuroiler na SASSO

    Habari za majukumu wanajamvi Hivi ukiwalisha sasso formula ya broiler kwa miez miwil ya mwanzo wanaweza kufika kg 2 ndani ya miez miwili
  7. jangala22

    JamiiForums Tanzania Kunenepesha kuku wa nyama

    Sawasawa
  8. jangala22

    JamiiForums Tanzania Kunenepesha kuku wa nyama

    Nakazia
  9. jangala22

    JamiiForums Tanzania Kunenepesha kuku wa nyama

    Zinauzwa maduka ya dawa za mifugo au dawa za binadamu na vipi kuhusu matumizi yake
  10. jangala22

    JamiiForums Tanzania Msaada tiba ya sickle cell (seli mundu)

    Asante mkuu
  11. jangala22

    JamiiForums Tanzania Msaada tiba ya sickle cell (seli mundu)

    Nashukur mkuu
  12. jangala22

    JamiiForums Tanzania Kunenepesha kuku wa nyama

    Nakazia wafugaji wengi wanafuga ila kuku hawafikishi hizo kilo mbili kwa kuku wa mwez mmoja ukilinganisha na nchi zilizoendelea
  13. jangala22

    JamiiForums Tanzania Msaada tiba ya sickle cell (seli mundu)

    Sawa mkuu Asante kwa ushauri
  14. jangala22

    JamiiForums Tanzania Msaada tiba ya sickle cell (seli mundu)

    Clinic ipo hapo Benjamin mkapa mkuu
  15. jangala22

    JamiiForums Tanzania Kunenepesha kuku wa nyama

    Sawasawa hii ni big point mkuu.
Back
Top Bottom