Recent content by Janeth199423

  1. J

    JamiiForums Tanzania Nahisi kuvutiwa naye japo ana familia

    Kuna mtu jinsia ya me, ananivutia sanaaaaaaaaaaaa. Yani sanaaaaaa, Kila nikimwomba Masada ananisaidia kwa kupitiliza, yani Ana care kwa kupitiliza. Ana familia yake in short ni mtu anajieshimu Nami namueshimu, sijawahi omba kitu nikanyimwa zaidi tu naongezewa maradufu. Najitahidi sana...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Lipi likikupa wakati mgumu ukiwa shule ya msingi?

    Nilikua navutiwa sana na wakaka Wenye akili alafu wao walikua wananichukulia poa kwasababu nilikua navaa miwani flani hivi kubwa ya round, nilikua naumia sana. [emoji38][emoji38] Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom