Recent content by janelema

  1. J

    Wakaka wa kibongo marekani ni miyeyusho....

    Mimi ni mdada wa miaka 26 nakaa USA, nimekuwa sina bahati kabisa kupata kaka wa kitanzania huku USA ambae naweza kuna kwenye relationship naye zaidi hata ya miezi sita. Yaani huwa baada hata ya 4month au 3 narudi kuwa single tena. Hawa makaka wa kibongo huku USA wengi hawana la maana kabisa...
Back
Top Bottom